HATUTARUHUSU MTENDAJI ABAKI NA FEDHA AKISUBIRI MUDA WA NYONGEZA – WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitaruhusu mtendaji wake abaki na fedha kwa uzembe halafu ategemee kupewa muda wa nyongeza baada ya mwaka wa fedha kuisha. “Tunatarajia kufanya maboresho ya kanuni ambayo yataruhusu matumizi ya fedha miezi kadhaa baada ya mwaka fedha kuisha ili ziweze kukamilisha miradi ambayo haijakamilika. Hatutahitaji kuona mzembe akibaki na fedha